• HABARI MPYA

    Sunday, June 17, 2018

    MODRIC AFUNGA CROATIA YAIBAMIZA 2-0 NIGERIA KOMBE LA DUNIA

    Nahodha wa Croatia, Luka Modric akishangilia kishujaa baada ya kuifungia bao la pili timu yake kwa penalti dakika ya 71 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Nigeria katika mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia Jumamosi Uwanja wa Kaliningrad mjini Kaliningrad, baada ya Oghenekaro Etebo kuanza kujifunga dakika ya 32 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MODRIC AFUNGA CROATIA YAIBAMIZA 2-0 NIGERIA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top