• HABARI MPYA

  Wednesday, March 01, 2023

  MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND


  TIMU ya Manchester City imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Bristol City jana Uwanja wa Ashton Gate Jijini Bristol.
  Mabao ya Manchester City yalifungwa na Phil Foden mawili, dakika ya saba na 74 na Kevin De Bruyne la tatu dakika ya 81.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top