// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA NA TP MAZEMBE SEPTEMBA 19 MKAPA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA NA TP MAZEMBE SEPTEMBA 19 MKAPA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Wednesday, September 08, 2021

  SIMBA NA TP MAZEMBE SEPTEMBA 19 MKAPA

   

  MABINGWA wa Tanzania, Simba SC watamenyana na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Septemba 19 kwenye tamasha la Simba Day Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. 
  Huo utakuwa mchezo wa tatu wa kirafiki baada ya awali kutoka sare mara mbili katika kambi yake ya Jijini Rabat nchini Morocco 2-2 na FAR Rabat na 1-1 na Khourigba.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA TP MAZEMBE SEPTEMBA 19 MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top