Wachezaji wa Manchester City wakimpongeza Raheem Sterling baada ya kufunga mabao mawili dakika za 45 na ushei na 67 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Wesley Hoedt aliyejifunga dakika ya sita, Sergio Aguero dakika ya 12 ambalo linakuwa bao lake la 150 Ligi Kuu ya England, David Silva dakika ya 18 na Leroy Sane dakika ya 90 na ushei, wakati la Southampton limefungwa na Danny Ings dakika ya 30 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
‘This is why I came here’ - Kane's ‘blown everyone away’
-
Harry Kane just can't stop scoring - now all he needs is a first career
major trophy. Could the Champions League deliver?
43 minutes ago
0 comments:
Post a Comment