Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwalaza wenyeji, AFC Bournemouth 2-1 jioni ya leo Uwanja wa Vitality, Bournemouth, Dorset katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Callum Wilson alianza kuifungia Bournemouth dakika ya 11, kabla ya Anthony Martial kuisawazishia United dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mike Tyson Taunts Jake Paul as Boxing Match Announced as a Sanctioned, Pro
Fight
-
The Texas Department of Licensing and Regulations is sanctioning the
scheduled bout between Mike Tyson and Jake Paul as an official fight. "Mike
Tyson and…
42 minutes ago
0 comments:
Post a Comment