Alvaro Morata akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 32 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London leo. Morata pia alifunga bao la pili dakika ya 65 kabla ya Mspaniola mwenzake, Pedro kufunga la tatu dakika ya 70, wakati bao la Palace limefungwa na Andros Townsend dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
6 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment