Mashabiki wa Leicester City wakilia kwa huzuni wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England baina ya timu yao na Burnley jana Uwanja wa King Power mjini Leicester, ambao ulimalizika kwa sare ya 0-0 kufuatia msiba wa mmiliki wa klabu yao, Vichai Srivaddhanaprabha wiki mbili zilizopita baada ya Helikopta yake kuteketea kwa moto akitoka kutazama mchezo dhidi ya West Ham United Oktoba 27 uwanjani hapo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Everyone in Liverpool will be happy!': Jurgen Klopp hails Florian Wirtz as
struggling £116m star's superb strike helps ex-Reds boss record first win
as Germany head coach
-
Wirtz played a pivotal role in the country's 2-0 win over Serbia, setting
up Tom Bischof's opener before scoring a fine goal himself to seal the
victory.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment