Washambuliaji Alexandre Lacazette na Pierre-Emerick Aubameyang wakishangilia baada ya kila mmoja kuifungia Arsenal mabao mawili katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Craven Cottage mjini London. Lacazette alifunga dakika za 29 na 49 na Aubameyang dakika za 79 na 90, wakati bao la tatu la Arsenal limefungwa na Aaron Ramsey dakika ya 67 na la Fulham limefungwa na Andre Schurrle dakika ya 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jose Mourinho learns punishment for red card after angry Benfica boss fumed
at former player who called him a traitor '50 TIMES' in heated draw with
Porto
-
Mourinho, who has previously coached Porto, is now manager of Benfica in
his native Portugal and oversaw his side's 2-2 draw with his old club, but
the res...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment