Mrusi Khabib Nurmagomedov (kulia) akitembea kibabe baada ya kummaliza mpinzani wake, Conor McGregor katika raundi ya nne alfajiri ya leo kwenye pambano la ubingwa wa UFC 229 uzito wa Light. Nurmagomedov aliruka ulingo kwenda kupigana na rafiki wa McGregor, Dillon Danis. Na ulingoni mmoja wa wapambe wa Khabib akampiga kichwani McGregor na kuzua tafrani kubwa ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Clarence Thomas thanks Ted Cruz for defending him against blockbuster
ethics complaints
-
Conservative Supreme Court justice thanks Texas Republican for ‘standing
up’ for him after he was ‘under attack’
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment