Winga Mbrazil, Willian (kushoto) akimpongeza Alvaro Morata baada ya kuifungia Chelsea bao pekee dakika ya 70 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya MOL Vidi kwenye mchezo wa Kundi L michuano ya Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Stamford Bridge, London. Willian ndiye aliyetoa pasi ya bao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Woman stabbed in the back in Lincoln, man arrested
-
A man suspected of a stabbing a woman in the back on Monday morning is now
in custody, the Lincoln Police Department said Monday.
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment