Matteo Guendouzi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 79 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Qarabag usiku wa Alhamisi Uwanja wa Taifa wa Baku. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Sokratis Papastathopoulos dakika ya nne na Emile Smith Rowe dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Supreme Court clears the way for Trump mail voting order in advance of
midterms
-
The Supreme Court on Monday cleared the way for President Donald Trump to
move ahead with his executive order restricting mail-in voting, though it
remains...
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment