Nyota wa Senegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao matatu dakika za 25, 53 na 85 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, FC Porto kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Do Dragao mjini Porto, Ureno. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 29 na Roberto Firmino dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Roberto De Zerbi warns big-spending Tottenham need time and must improve
'physical condition' and 'organisation' - as boss apologises after crushing
loss to Brentford
-
De Zerbi admitted Spurs did not 'fight in the right way', 'lost too many
duels' and 'made a lot of mistakes'. He also claimed they must improve in
their 'p...
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment