• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 25, 2018

  MAN CITY WAIPIGA 3-0 ARSENAL NA KUBEBA KOMBE LA LIGI ENGLAND

  Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia na mchezaji mwenzake, Leroy Sane baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 19 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Arsenal kwenye fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup leo Uwanja wa Wembley. Bao la pili limefungwa na beki Vincent Kompany dakika ya 58 na la tatu kiungo, David Silva dakika 65, Pep Guardiola akitwaa taji la kwanza England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN CITY WAIPIGA 3-0 ARSENAL NA KUBEBA KOMBE LA LIGI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top