• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 21, 2018

  SIMBA SC WAMEJIFUA UFUKWENI DJIBOUTI LEO KABLA YA KUREJEA DAR

  Wachezaji wa Simba, beki Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kulia) na kiungo Said Ndemla (kushoto) wakiwa kwenye ufukwe wa bahari mjiji Djibouti City baada ya mazoezi leo asubuhi kabla ya safari ya kurejea Dar es Salaam kufuatia jana kuwafunga wenyeji, Gendarmerie Tnare 1-0 katika mchezo wa marudiano Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika, hivyo kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-0 baada ya ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa kwanza nyumbani  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAMEJIFUA UFUKWENI DJIBOUTI LEO KABLA YA KUREJEA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top