TAJIRI MUSLAH NA KIJANA WAKE HAJJI SUNDAY WAKIPATA BURUDANI YA 5-0
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Muslah Al Ruwaih (katikati) akiwa na viongozi wenzake, Ally Suru (kulia) na Hajji Sunday Manara wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC Jumatatu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 5-0
0 comments:
Post a Comment