• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 26, 2018

  GATTUSO AMTUMIA SALAMU WENGER, MILAN YAICHAPA ROMA 2-0

  Kocha wa AC Milan, Gennaro Gattuso akitembea kibabe baada ya timu ya kushinda 2-0 ugenini jana dhidi ya wenyeji, Roma Uwanja wa Olimpico mabao ya Patrick Cutrone dakika ya 48 na Davide Calabria dakika ya 74 katika mchezo wa Serie A, Italia. Milan watakutana na Arsenal ya kocha Mfaransa, Arsene Wenger katika 16 Bora ya UEFA Europa League wiki ijayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GATTUSO AMTUMIA SALAMU WENGER, MILAN YAICHAPA ROMA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top