Alexis Sanchez akiwa amebeba kumrudisha jukwaani shabiki mtoto mdogo aliyeingia Uwanja wa The John Smith na watoto wenzake kushangilia bao la pili la timu hiyo ambalo kama la kwanza lilifungwa na Romelu Lukaku katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la FA England dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment