• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 22, 2018

  FIRMINO NA SADIO MANE WALIVYOIPASHIA WEST HAM LEO

  Nyota wa Liverpool, Mbrazil Roberto Firmino (kushoto) na Msenegal Sadio Mane wakiwa mazoezini na kikosi cha timu yao leo kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England keshokutwa dhidi ya West Ham United Uwanja wa Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FIRMINO NA SADIO MANE WALIVYOIPASHIA WEST HAM LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top