• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 25, 2018

  KANE AIPIGIA BAO PEKEE SPURS YAICHAPA 1-0 CRYSTAL PALACE

  Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake dakika ya 88 ikishinda 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji, Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Selhurst Park, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KANE AIPIGIA BAO PEKEE SPURS YAICHAPA 1-0 CRYSTAL PALACE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top