Ngumi ya George Groves ikiwa imewasili kwenye uso wa mpinzani wake, Chris Eubank Jr wakati wa pambano la fainali ya World Boxing Super Series usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Manchester Arena. Groves alishinda kwa uamuzi wa majaji wote, pointi 117-112, 116-112 na 115-113 na kutetea ubingwa wake wa dunia wa WBA baada ya raundi 12 kali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment