Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 45 kwa penalti na 83 ikitoka nyuma kwa 1-0 na kushinda 3-1 dhidi ya Paris Saint-Germain katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa wa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Bao lingine la Real limefungwa na Marcelo dakika ya 86, baada ya PSG kutangulia kwa bao la mapema laAdrien Rabiot dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Arthur drop goal gives Hull FC win over Catalans
-
Jake Arthur scores a drop goal in the final five minutes to give Hull FC a
dramatic comeback win over former coach John Cartwright and Catalans
Dragons.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment