Mshambuliaji Mfaransa Olivier Giroud (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake mpya, Emerson Palmieri baada ya kuifungia Chelsea bao lake la kwanza tangu asajiliwe kutoka Arsenal dakika ya 42 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Hull City usiku wa Ijumaa Uwanja wa Stamford Bridge, London kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora kombe la FA England. Mabao mengine ya The Blues inayotinga Robo Fainali yamefungwa na Willian mawili dakika ya pili na 32 na Pedro dakika ya 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment