Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison George Mwakyembe (kulia) akizungumza na Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Mtaliano Giovanni Vincenzo 'Gianni' Infantino jana ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mjini Dar es Salaam baada ya kuwasili kwa semina ya siku tatu ya FIFA itakayoshirikisha nchi 21, wakiwemo wenyeji, Tanzania
Rais wa FIFA, Gianni Infantino akimueleza jambo Waziri Dk. Harrison Mwakyembe jana
Na hapa ni wakati Dk. Harrison Mwakyembe anampokea Gianni Infantino alipoteremnka kwenuye ndege
Kushoto ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia



0 comments:
Post a Comment