• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 24, 2018

  RONALDO APIGA MBILI REAL MADRID YAIBAMIZA ALAVES 4-0 LA LIGA

  Mshambuliaji Mreno Cristiano Ronaldo (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake, Gareth Bale baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 44 na 61 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Deportivo Alaves leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real yamefungwa na Gareth Bale dakika ya 46 na Karim Benzema dakika ya 89 kwa penalti baada ya yeye mwenyewe kuangushwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO APIGA MBILI REAL MADRID YAIBAMIZA ALAVES 4-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top