• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 27, 2018

  SHABIKI HUYU WA SIMBA NINI KILIMSIBU JANA?

  Wapenzi wa klabu ya Simba wakiwa wamembeba mwenzao wa kike aliyepoteza fahamu jana wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 5-0
  Kama anavyoonekana dada huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa taabani 
  Hapa wanambeba wanampeleka kwenye zahanati ndogo ya Uwanja wa Taifa
  Kwa umoja wa hali ya juu, wapenzi wa Simba wakiwa wamembeba mwenzao jana
  Mashabiki wa Simba wakiwa wenye raha jana kutokana na ushindi mnono wa 5-0 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHABIKI HUYU WA SIMBA NINI KILIMSIBU JANA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top