• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 27, 2018

  TWIGA STARS KUCHEZA NA ZAMBIA AFCON YA WANAWAKE

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
  TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars itacheza na Zambia katika mchezo wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake zitakazochezwa Ghana baadaye mwaka huu.
  Twiga Stars inatakiwa kucheza mechi zote mbili kati ya April 2 na April 10,2018. Mchezo huo ni wa raundi ya kwanza.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TWIGA STARS KUCHEZA NA ZAMBIA AFCON YA WANAWAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top