Mshambuliaji wa Simba SC, Mganda Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mbao FC, David Mwasa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba ilishinda 5-0
Mshambuliaji wa Mbao FC, Habib Kiyombo (katikati) akipambana kuwatoka wachezaji wa Simba, Yussuph Mlipili (kulia) na Mghana James Kotei (kushoto)
Emmanuel Okwi akiwa ameanguka chini baada ya kupunguzwa kasi na beki wa Mbao FC, Boniphace Maganga
Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin akipasua katikati ya wachezaji wa Mbao
Viungo, Yussuph Ndikumana (kushoto) na Muzamil Yassin (kulia) wakiwania mpira wa juu
Beki wa Simba SC, Erasto Nyoni (kulia) akimgeuza Rajesh Kotecha wa Mbao FC
Beki wa Mbao FC, Amos Charles akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Simba, Shiza Kichuya
Kiungo wa Mbao FC, James Msuva akiudhibiti mpira dhidi ya beki wa Simba, Mghana, Asante Kwasi
Kikosi cha Mbao FC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Kikosi cha Simba SC kilichoanza katika mechi ya jana Uwanja wa Taifa |
0 comments:
Post a Comment