• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 21, 2018

  MESSI AINUSURU BARCELONA KUPOTEZA MECHI KWA CHELSEA

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akishangilia na mchezaji mwenzake wa muda mrefu, Andres Iniesta baada ya ushirikiano wao kuipatia timu bao la kusawazisha dakika ya 75 katika sare ya 1-1 na Chelsea kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea ilitangulia kwa bao la kiungo wake Mbrazil, Willian dakika ya 62 akimalizia kazi nzuri kiungo Mbelgiji, Eden Hazard kabla ya kuisawazishia Barca PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI AINUSURU BARCELONA KUPOTEZA MECHI KWA CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top