• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 28, 2018

  BILA RONALDO NA REAL MADRID YACHAPWA KIMOJA TU

  Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale akipambana kumpita mchezaji wa Espanyol, David Lopez (kushoto) katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumanne Uwanja wa RCDE. Espanyol  imeshinda 1-0 bao pekee la Gerard Moreno dakika ya 90 na ushei. Leo Real ilimpumzisha nyota wake, Cristiano Ronaldo kuelekea mechi ya marudiano ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa na wenyeji, Paris Saint Germain  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BILA RONALDO NA REAL MADRID YACHAPWA KIMOJA TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top