Isaac Drogba (kushoto), mwenye umri wa miaka 17, mtoto wa gwiji wa soka, Didier Drogba akikabidhiwa jezi ya klabu yake mpya, Guingamp ya Ligue 1 jana moja ya timu alizochezea baba yake mwanzoni mwa maisha yake ya soka nchini Ufaransa. Drogba mkubwa alijiunga na Guingamp akiwa ana umri wa miaka 16 tu kwa ada ya uhamisho ya Pauni 80,000 kutoka Le Mans PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment