Nyota Mbrazil, Neymar akiugulia maumivu Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris dakika ya 80 jana kabla ya kutolewa kwa machela timu yake, Paris Saint-Germain ikishinda 3-0 dhidi ya Marseille katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa mabao ya Kylian Mbappe dakika ya 10, Rolando aliyejifunga dakika ya 27 na Edinson Cavani dakika ya 55. Neymar sasa yuko shakani kucheza mechi ya marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid mjini Paris baada ya kufungwa 3-1 Februari 14 mjini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Japan fight back twice to earn 2-2 draw with Netherlands
-
Japan produced a spirited comeback to hold Netherlands to a thrilling 2-2
draw in their opening Group F match at the 2026 FIFA World Cup in Dallas.
The p...
11 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment