Sergio Ramos (katikati) akifurahia na wenzake na jezi yenye namba 550 baada ya kucheza mechi ya 550 Real Madrid usiku wa jana ikishinda 3-1 dhidi ya wenyeji, Leganes Uwanja wa Manispaa ya Butarque katika mchezo wa La Liga. Ramos alifunga bao la tatu dakika ya 90 kwa penalti, baada ya Lucas Vazquez kufunga la kwanza dakika ya 11 na Casemiro la pili dakika ya 29, baada ya Bustinza kuanza kuwafungia wenyeji dakika ya sita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment