• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 18, 2018

  SIMBA SC WALIVYOIFUATA GENDARMERIE DJIBOUTI CITY LEO

  Wachezaji wa Simba, beki mzawa, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto) na mshsmbuliaji Mganda, Emmanuel Okwi (kulia)  wakati wa safari ya kwenda Djibouti Coty leo kwa ajili ya mchezo wa marudiano hatua ya awali Kombe la Shirikisho Afrika na wenyeji Gendarmerie Tnare Jumanne. Simba ilishinda 4-0 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam jumapili.   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOIFUATA GENDARMERIE DJIBOUTI CITY LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top