Mshambuliaji Mfaransa, Antoine Griezmann akipiga penalti kuifungia Atletico Madrid dakika ya 51 kukamilisha hat trick yake katika ushindi wa 5-2 dhidi ya wenyeji, Sevilla kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ramón Sanchez Pizjuan mjini Sevilla. Mabao mengine alifunga dakika za 42 na 81, wakati Diego Costa alifunga dakika ya 29 na Koke dakika ya 65, huku mabao ya wenyeji yakifungwa na Pablo Sarabia dakika ya 85 na Nolito dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Harry Kane 'is OPEN to signing a new Tottenham contract'
-
With Conte at the helm, Spurs were able to secure Champions League football
for next season and Kane is reportedly increasingly hopeful that he can
finally...
Dakika 13 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni