• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 22, 2018

  SHUJAA WA MAN UNITED, DE GEA ALIVYOREJEA NA WENZAKE LEO

  Kipa wa Manchester United, David de Gea (kulia) aliyekuwa shujaa jana katika mechi dhidi ya Sevilla nchini Hispania akiwasili mjini Manchester leo waliporejea baada ya sare ya 0-0 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya mlinda mlango huyo wa kimataifa wa Hispania akiokoa michomo na kuinusuru timu yake kufungwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHUJAA WA MAN UNITED, DE GEA ALIVYOREJEA NA WENZAKE LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top