• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 26, 2018

  BOCCO AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA JANAURI LIGI KUU

  Ofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jemadari Said (kushoto) akimkabidhi mshambuliaji na Nahodha wa Simba, John Bocco tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa mwezi Januari mwaka huu
  John Bocco ambaye ni majeruhi kwa sasa, alikabidhiwa tuzo hiyo pamoja na king'amuzi cha Azam TV kabla ya mchezo wa Ligi Kuu baina ya timu yake, Simba SC na Mbao FC jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba imeshinda 5-0  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BOCCO AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA JANAURI LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top