• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 23, 2018

  ARSENAL YASONGA MBELE UEFA LICHA YA KICHAPO, MASHABIKI WAIZOMEA

  Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger akifurahia kwa timu yake kufuzu hatua ya 16 Bora ya UEFA Europa League licha ya kufungwa 2-1 usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates, London na Ostersunds ya Sweden, mabao ya wageni yakifungwa na Hosam Aiesh dakika ya 22 na Ken Sema dakika ya 23, wakati la wenyeji lilifungwa na Sead Kolasinac dakika ya 47.
  Arsenal iliyozomewa na mashabiki wake kwa kufungwa nyumbani, inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-2 baada ya kuifunga Ostersunds 3-0 kwenye mchezo wa kwanza Sweden PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YASONGA MBELE UEFA LICHA YA KICHAPO, MASHABIKI WAIZOMEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top