• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 22, 2018

  FRED WANAYEMTAKA MAN CITY AIPA USHINDI SHAKHTAR DHIDI YA ROMA

  Fred anayetakiwa na Manchester City akishangilia baada ya kuifungia Shakhtar Donetsk bao la ushindi dakika ya 71 kwa mpira wa adhabu, wakitoka nyuma na kuilaza Roma 2-1 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Oblasny SportKomplex Metalist mjini Kharkiv, Uturuki. Roma walitangulia kwa bao la Cengiz Under dakika ya 41 kabla ya Facundo Ferreyra kusawazisha dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FRED WANAYEMTAKA MAN CITY AIPA USHINDI SHAKHTAR DHIDI YA ROMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top