• HABARI MPYA

  Ijumaa, Februari 23, 2018

  ATLETICO MADRID YASONGA MBELE KIBABE UEFA EUROPA LEAGUE

  Kevin Gameiro akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid bao pekee la ushindi dakika ya saba tu ikiwalaza Copenhagen 1-0 katika mchezo wa marudiano hatua ya 32 Bora UEFA Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-1 baada ya kushinda 4-1 kwenye mchezo wa kwanza nchini Denmark PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ATLETICO MADRID YASONGA MBELE KIBABE UEFA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top