Mshambuliaji Mbelgiji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia mabao yote Manchester United dakika za tatu na 35 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora ya Kombe la FA England leo Uwanja wa The John Smith, Huddersfield, West Yorkshire PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment