• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 27, 2018

  NGORONGORO HEROES KUANZA NA DRC KUFUZU FAINALI ZA AFCON U-20

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
  TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes imepangwa kucheza na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Vijana za Africa zitakazochezwa Niger mwezi Novemba.
  Mchezo wa kwanza utachezwa Tanzania kati ya Machi 30,31 na April 1,2018 na ule wa marudiano utachezwa Kongo kati ya Machi 20,21 na 22.
  Mshindi katika mchezo huo atacheza na Mali katika raundi ya Pili itakayochezwa kati ya Mei 11,12 na 13,2018.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NGORONGORO HEROES KUANZA NA DRC KUFUZU FAINALI ZA AFCON U-20 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top