• HABARI MPYA

  Sunday, February 18, 2018

  YANGA WALIVYOWAFUATA SAINT LOUIS LEO, MECHI NI JUMATANO

  Wachezaji wa Yanga wakiwa kwenye ndege leo wakati wa safari ya kwenda mjini Victoria nchini Shelisheli kwa ajili ya mchezo wa marudiano na wenyeji, Saint Louis Suns United hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika Jumatano mjini humo 
  Hapa ni Uwanja wa Ndege wa Nairobi wakiunganisha ndege kwa safari yao
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIVYOWAFUATA SAINT LOUIS LEO, MECHI NI JUMATANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top