• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 25, 2018

  SUAREZ APIGA HAT TRICK BARCELONA YAISHINDILIA 6-1 GIRONA LA LIGA

  Mshambuliaji Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao matatu peke yake dakika za tano, 44 na 76 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Girona kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Lionel Messi mawili dakika za 30 na 36 na Philippe Coutinho dakika ya 66, wakati la Girona limefungwa na Cristian Portu dakika ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SUAREZ APIGA HAT TRICK BARCELONA YAISHINDILIA 6-1 GIRONA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top