Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Hajji Sunday Manara akipokea zawadi ya Saa ya ukutani kutoka kwa Naibu Waziri wa Michezo wa Serikali ya Oman, Shekh Rashaad Ahmed Al-Hinai jana ofisini kwa Waziri huyo mjini Muscat, Oman
Manara naye alimwachia zawadi Waziri huyo kutoka klabu ya Simba




.png)
0 comments:
Post a Comment