// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SUAREZ AMALIZA UKAME WA MABAO, AFUNGA MAWILI BARDA IKIUA 3-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SUAREZ AMALIZA UKAME WA MABAO, AFUNGA MAWILI BARDA IKIUA 3-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, November 18, 2017

    SUAREZ AMALIZA UKAME WA MABAO, AFUNGA MAWILI BARDA IKIUA 3-0

    Mshambuliaji Luis Suarez akishangilia kibabe baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 28 na 60 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Leganes kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Manispaa ya Butarque, Leganes leo. Bao la tatu lilifungwa na Paulinho dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUAREZ AMALIZA UKAME WA MABAO, AFUNGA MAWILI BARDA IKIUA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top