Winga Mohamed Salah akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 31 na 41 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Bao lingine la Wekundu hao limefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAIPIGA 3-0 SOUTHAMPTON
Winga Mohamed Salah akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 31 na 41 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Bao lingine la Wekundu hao limefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA


.png)
0 comments:
Post a Comment