Kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima (kushoto) akimtoka beki wa Kaengesa FC katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Simba ilishinda 3-2
Kiungo wa Simba, Mohammed 'Mo' Ibrahim akimtoka mchezaji wa Kaengesa FC
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa akisalimiana na wachezaji wa Simba haba kabla ya mechi
Mashabiki wakifuatilia mchezo huo jana Uwanja wa Mandela
Kikosi cha Kaengesa jana Uwanja wa Mandela
Kikosi cha Simba jana Uwanja wa Mandela








.png)
0 comments:
Post a Comment