Lionel Messi akishangaa wakati anakaribiwa na shabiki aliyevamia Uwanja wa Georgios Karaiskaki mjini Pireas, Piraeus nchini Ugiriki wakati wa mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Olympiacos uliomalizika kwa sare ya 0-0. Shabiki huyo alimkumbatia Messi na kukata kiu yake PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jets' Geno Smith gets stern warning ahead of 2026 season
-
Geno Smith and the New York Jets have a quarterback situation.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment