Kiungo wa Roma, Kevin Strootman akimuacha chini kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki mjini Roma katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Roma ilishinda 3-0, mabao ya Stephan El Shaarawy mawili dakika ya kwanza na 36 na Diego Perotti dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment