Kungo Ramadhani Singano 'Messi' akiruka kupiga mpira kwa kichwa katika mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja mdogo Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujianda na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Njombe Mji jumamosi
Beki Aggrey Morris akikimbia kwenye mazoezi hayo jana
Kiungo Frank Domayo akifurahia wakati wa mazoezi hayo jana
Makipa Mwadini Ali na Benedit Haule (mbele) wakiwa mazoezini
Kocha Mromania Aristica Cioaba akiwaonyesha kitu kwa ishara wachezaji
Riley Leonard, No. 5 Notre Dame Ripped as CFP Pretenders After Upset Loss
to NIU
-
Notre Dame looked like a team capable of reaching the College Football
Playoff a week ago when it took down Texas A&M in College Station. The No.
5…
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment